Sauti | Tilawa ya Sayyid Jawad Hosseini ya aya za Suratul-‘Āli ‘Imrān
IQNA-Tilawa ya Qur’an Tukufu iliyosomwa na Qāri’ mashuhuri wa kimataifa, Sayyid Jawad Hosseini, ya Aya za 189 hadi 194 za Suratul-‘Āli ‘Imrān na pia Aya za mwisho za Suratul-Fajr, kama ilivyosomwa katika mahafali ya Qur’an ndani ya Haram Tukufu ya Imam Ridha (ra), sasa inawasilishwa kwa hadhira ya wasikilizaji wa IQNA.